rachmaninov rachmaninoff prokofiev liszt mystic energetic interesting elegant orchestra symphony
Mjukuu wa Mayweather

2024-04-21

Lyrics

Eeh natembea nikiwa high Dawa zinanipeleka kwa mawingu Sitaki madhara, niko fly Wajanja wanajua, hii ni dingu Kwenye mtaa wapo, wanabeba Wakali kwa game, sio kujifanya Niko juu, kama nina mabawa Nasurvive jiji, ka mjukuu wa mayweather (mayweather) Kila siku kama vile Friday Nagonga roundi hadi sijielewe