Njaa na Elimu

Njaa na Elimu

2024-04-19

Créé par MunWer avec Udio AI

rachmaninov rachmaninoff prokofiev liszt mystic energetic interesting elegant orchestra symphony
Njaa na Elimu

2024-04-19

Lyrics

Watoto wanarudi skuli wanapendeza ukweli Wabeba mikoba mikubwa na kijasho usoni Wadogo kwa wakubwa wamechoka taabani Wakifika majumbani na njaa matumboni Tunapenda kuwafunza welewe kila kitu Lakini Wakiwa na njaa hawafahamu kitu Wanasinzia darasani kama hawajala kitu Wanashindwa kufahamu kama tumboni hamna kitu Elimu ni muhimu kwa wadogo na wakubwa Na sisi inatulazimu kujifunza kwa taaluma Tusione ugumu kurudia kusoma Elimu haina mwisho kwa wanaotaka kusoma Watoto wanarudi skuli wanapendeza ukweli Wabeba mikoba mikubwa na kijasho usoni Wadogo kwa wakubwa wamechoka taabani Wakifika majumbani na njaa matumboni Tunapenda kuwafunza welewe kila kitu Lakini Wakiwa na njaa hawafahamu kitu Wanasinzia darasani kama hawajala kitu Wanashindwa kufahamu kama tumboni hamna kitu Elimu ni muhimu kwa wadogo na wakubwa Na sisi inatulazimu kujifunza kwa taaluma Tusione ugumu kurudia kusoma Elimu haina mwisho kwa wanaotaka kusoma Watoto wanarudi skuli wanapendeza ukweli Wabeba mikoba mikubwa na kijasho usoni Wadogo kwa wakubwa wamechoka taabani Wakifika majumbani na njaa matumboni Tunapenda kuwafunza welewe kila kitu Lakini Wakiwa na njaa hawafahamu kitu Wanasinzia darasani kama hawajala kitu Wanashindwa kufahamu kama tumboni hamna kitu Elimu ni muhimu kwa wadogo na wakubwa Na sisi inatulazimu kujifunza kwa taaluma Tusione ugumu kurudia kusoma Elimu haina mwisho kwa wanaotaka kusoma